|
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. |
|
|
TACAIDS |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ikiwa UKIMWI haukutishi wewe, hebu fikiria vile UKIMWI unaweza kumdhuru mtoto wako. Hebu fikiria |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Niko sawa. |
I am well. |
|
Joint United Nations Programme on HIV/AIDS ; World AIDS Campaign ; Ford Foundation |
Geneva, Switzerland? |
Swahili |
|
|
Komesha ukimwi, timiza ahadi. Je, umechukua uongozi? |
Have you taken lead? |
|
World AIDS Campaign ; National Empowerment Network for People Living with HIV/AIDS in Kenya (NEPHAK) ; Maisha! |
Kenya |
Swahili |
|
|
Huduma na tiba kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi Zanzibar (Machi 2005 - Machi 2007). |
|
|
Zanzibar. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii |
Zanzibar, Tanzania |
Swahili |
2007 |
|
Zungumza na wanaoishi na virusi vya ukimwi kuhusu kinga ya virusi vya ukimwi. |
|
|
United States. President’s Emergency Plan for AIDS Relief; Kenya; Centers for Disease Control and Prevention (U.S.) |
Kenya |
Swahili |
|
|
Wajibu wa wazazi kwa vijana vunja ukimya! Mzazi zungumza na kijana wako juu ya afya ya uzazi na ujinsia! |
|
|
Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania |
Dar es Salaam, Tanzania |
Swahili |
|
|
Linda afya yako, mlinde mpenzi wako, linda familia yako. Mwambie penzi wako kuwa una virusi vya UKIMWI. Mlete mpenzi wako katika kliniki ili apimwe kama ana virusi vya UKIMWI. |
|
|
Kenya. Ministry of Public Health and Sanitation ; Centers for Disease Control and Prevention |
Kenya |
Swahili |
|
|
Mpashe! Bila salama? "Hata siku moja." |
Bila Salama? |
|
Salama Condoms (Firm) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Umepimwa hivi karibuni na ukagunduliwa kuwa na virusi vya ukimwi |
|
|
|
|
Swahili |
|
|
Umuhimu wa ushauri nasaha katika uislamu. Mwenyezi MUNGU amesema "na washauri katika mambo." |
|
|
Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) |
Zanzibar, Tanzania |
Swahili |
|
|
Tanzania bila ukimwi inawezekana. Kapime. Tupime. Tupange. Tuishi. |
|
|
Tanzania. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ; Mpango wa taifa wa kudhibiti ukimwi. |
Tanzania |
Swahili |
2005-2014 |
|
Pata ushauri nasaha na kupima afya yako ili kujua hali ya yambukizo wa Virusi vya ukimwi. |
|
|
UNICEF |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Majibu ya mwenzi wako si kigezo cha kujua hali-yako ya uambukizo wa Virusi vya UKUMWI. |
|
|
|
Dar es Salaam, Tanzania |
Swahili |
|
|
Huduma ya kuzuia maambukizo ya virusi VYA ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. |
|
|
Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) ; European Union ; Médecins du monde |
Zanzibar, Tanzania |
Swahili |
2005? |
|
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." |
Bila Salama? |
|
Salama Condoms (Firm) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." |
Bila Salama? |
|
Salama Condoms (Firm) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
ABC mpaka Z. |
|
|
Femina HIP (Firm) ; United States. Agency for International Development. |
Dar es Salaam, Tanzania |
Swahili |
|