Thumbnails | List

Title Series Artist Creators / Group Locale Language Date
Namjali mpenzi wangu hivyo mimi hutumia kondom. I care for my partner, so I use condoms Tibasima, Marco Simon Kuleana Centre for Sexual Health Mwanza, Tanzania Swahili and English (1996) (received)
[pointing family] Sawaya, M. African Medical and Research Foundation Tanzania 1991
Rafiki yangu mwenye UKIMWI bado ni rafiki yangu. My friend with AIDS is still my friend Tibasima, Marco Simon Kuleana Centre for Sexual Health Mwanza, Tanzania Swahili and English (1996) (received)
Ukimwi. Tujifunze ukweli kuhusu ukimwi African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Ukimwi. Siuzi uhai wangu kwa jiwe! Tutumie kondomu. African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Jihadhari! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mpashe! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 2. Je, Kondom hazizuii virusi vya UKIMWI kwa sababu zina vitundu ambavyo huruhusu virusi hivyo kupenya? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Kubadili tabia ndiyo njia pekee. Behaviour change is the only way. Postage stamps National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili and English 1997 (received)
Kupiga vita ukimwi ni wajibu wetu tuelezane na kuzuia ukimwi. To fight AIDS is everyone's responsibility. Share the information and stop AIDS Postage stamps National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili and English 1997 (received)
Kutunza mayatima wa ukimwi ni wajibu wetu. AIDS orphans is everyone's responsibility Postage stamps National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili and English 1997 (received)

Pages