|
Zungumza na wanaoishi na virusi vya ukimwi kuhusu kinga ya virusi vya ukimwi. |
|
|
United States. President’s Emergency Plan for AIDS Relief; Kenya; Centers for Disease Control and Prevention (U.S.) |
Kenya |
Swahili |
|
|
Wajibu wa wazazi kwa vijana vunja ukimya! Mzazi zungumza na kijana wako juu ya afya ya uzazi na ujinsia! |
|
|
Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania |
Dar es Salaam, Tanzania |
Swahili |
|
|
Umuhimu wa ushauri nasaha katika uislamu. Mwenyezi MUNGU amesema "na washauri katika mambo." |
|
|
Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) |
Zanzibar, Tanzania |
Swahili |
|
|
Umepimwa hivi karibuni na ukagunduliwa kuwa na virusi vya ukimwi |
|
|
|
|
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 2. Je, Kondom hazizuii virusi vya UKIMWI kwa sababu zina vitundu ambavyo huruhusu virusi hivyo kupenya? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Tujifunze ukweli kuhusu ukimwi |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Siuzi uhai wangu kwa jiwe! Tutumie kondomu. |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
UKIMWI jikinge na umkinge mwenzio fanya mapenzi kitika ndoa tu |
|
|
MAP International |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Tumia mpira wakati wowote unapofanya mapenzi ya kimwili |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Tanzania bila ukimwi inawezekana. Kapime. Tupime. Tupange. Tuishi. |
|
|
Tanzania. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ; Mpango wa taifa wa kudhibiti ukimwi. |
Tanzania |
Swahili |
2005-2014 |
|
Sote tunawajibika kuwajali na kuwahudumia wanawake wajawazito hasa walioathirika na virusi vya Ukimwi. |
|
|
Taasisi ya Chakula na Lishe (Tanzania), Shirika la Chakula Bora Tanzania, UNICEF |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Pata ushauri nasaha na kupima afya yako ili kujua hali ya yambukizo wa Virusi vya ukimwi. |
|
|
UNICEF |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Niko sawa. |
I am well. |
|
Joint United Nations Programme on HIV/AIDS ; World AIDS Campaign ; Ford Foundation |
Geneva, Switzerland? |
Swahili |
|
|
Mzazi amka! Pima Ukimwi mlinde moto na familia. |
|
|
Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) |
Zanzibar, Tanzania |
Swahili |
|
|
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." |
Bila Salama? |
|
Salama Condoms (Firm) |
Tanzania |
Swahili |
|