Thumbnails | List

Title Series Artist Creators / Group Localesort ascending Language Date
Umuhimu wa ushauri nasaha katika uislamu. Mwenyezi MUNGU amesema "na washauri katika mambo." Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Mzazi amka! Pima Ukimwi mlinde moto na familia. Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Huduma ya kuzuia maambukizo ya virusi VYA ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (Machi 2005 - Machi 2007) Zanzibar Zanzibar, Tanzania Swahili 2007?
Huduma ya kuzuia maambukizo ya virusi VYA ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) ; European Union ; Médecins du monde Zanzibar, Tanzania Swahili 2005?
Kuwa makini. Katika kutumia dawa za Ukimwi epuka matatizo. Tumia dawa za ARV kwa wakati na kwa maisha yako yote. Kumekucha! Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Huduma na tiba kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi Zanzibar (Machi 2005 - Machi 2007). Zanzibar. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Zanzibar, Tanzania Swahili 2007
Mpashe! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Tanzania bila ukimwi inawezekana. Kapime. Tupime. Tupange. Tuishi. Tanzania. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ; Mpango wa taifa wa kudhibiti ukimwi. Tanzania Swahili 2005-2014
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Pata ushauri nasaha na kupima afya yako ili kujua hali ya yambukizo wa Virusi vya ukimwi. UNICEF Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 2. Je, Kondom hazizuii virusi vya UKIMWI kwa sababu zina vitundu ambavyo huruhusu virusi hivyo kupenya? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Sote tunawajibika kuwajali na kuwahudumia wanawake wajawazito hasa walioathirika na virusi vya Ukimwi. Taasisi ya Chakula na Lishe (Tanzania), Shirika la Chakula Bora Tanzania, UNICEF Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Kondom Bora Na Imara. Salama, Salama, Salama. Mpya! Sasa Hupatikana Pharma Plast Tanzania Swahili (1991)
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. TACAIDS Tanzania Swahili

Pages