Thumbnails | List

Title Series Artist Creators / Group Locale Languagesort descending Date
Sote tunawajibika kuwajali na kuwahudumia wanawake wajawazito hasa walioathirika na virusi vya Ukimwi. Taasisi ya Chakula na Lishe (Tanzania), Shirika la Chakula Bora Tanzania, UNICEF Tanzania Swahili
Jikinge na magonjwa ya zinaa na ukimwi Nairobi, Kenya? Swahili
Jikinge. Tumia mpira wakati wowote unapofanya mpenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Ikiwa UKIMWI haukutishi wewe, hebu fikiria vile UKIMWI unaweza kumdhuru mtoto wako. Hebu fikiria National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Jikinge, kuwa na afya bora, tumia njia salama za kufanya mapenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Kondom Bora Na Imara. Salama, Salama, Salama. Mpya! Sasa Hupatikana Pharma Plast Tanzania Swahili (1991)
Kuwa na mpenzi mmoja wa kimwili pekee National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Matukio na ishi. Karibuni wote! TACAIDS Tanzania Swahili
Mtu yeyote anaweza kushikwa na ukimwi National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Tumia mpira wakati wowote unapofanya mapenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. TACAIDS Tanzania Swahili
Ukimwi. Tujifunze ukweli kuhusu ukimwi African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
UKIMWI jikinge na umkinge mwenzio fanya mapenzi kitika ndoa tu MAP International Nairobi, Kenya Swahili
Ukimwi. Siuzi uhai wangu kwa jiwe! Tutumie kondomu. African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 2. Je, Kondom hazizuii virusi vya UKIMWI kwa sababu zina vitundu ambavyo huruhusu virusi hivyo kupenya? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili

Pages