Thumbnails | List

Title Series Artist Creators / Group Locale Language Datesort descending
Mpashe! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. TACAIDS Tanzania Swahili
Ikiwa UKIMWI haukutishi wewe, hebu fikiria vile UKIMWI unaweza kumdhuru mtoto wako. Hebu fikiria National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Kuwa makini. Katika kutumia dawa za Ukimwi epuka matatizo. Tumia dawa za ARV kwa wakati na kwa maisha yako yote. Kumekucha! Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Niko sawa. I am well. Joint United Nations Programme on HIV/AIDS ; World AIDS Campaign ; Ford Foundation Geneva, Switzerland? Swahili
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Jikinge, kuwa na afya bora, tumia njia salama za kufanya mapenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mzazi amka! Pima Ukimwi mlinde moto na familia. Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Kuwa na mpenzi mmoja wa kimwili pekee National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Matukio na ishi. Karibuni wote! TACAIDS Tanzania Swahili
Jihadhari! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mtu yeyote anaweza kushikwa na ukimwi National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Sote tunawajibika kuwajali na kuwahudumia wanawake wajawazito hasa walioathirika na virusi vya Ukimwi. Taasisi ya Chakula na Lishe (Tanzania), Shirika la Chakula Bora Tanzania, UNICEF Tanzania Swahili
Tumia mpira wakati wowote unapofanya mapenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Jikinge na magonjwa ya zinaa na ukimwi Nairobi, Kenya? Swahili
Jikinge. Tumia mpira wakati wowote unapofanya mpenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili

Pages