Thumbnails | List

Title Series Artist Creators / Group Locale Languagesort ascending Date
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. TACAIDS Tanzania Swahili
Ikiwa UKIMWI haukutishi wewe, hebu fikiria vile UKIMWI unaweza kumdhuru mtoto wako. Hebu fikiria National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Niko sawa. I am well. Joint United Nations Programme on HIV/AIDS ; World AIDS Campaign ; Ford Foundation Geneva, Switzerland? Swahili
Komesha ukimwi, timiza ahadi. Je, umechukua uongozi? Have you taken lead? World AIDS Campaign ; National Empowerment Network for People Living with HIV/AIDS in Kenya (NEPHAK) ; Maisha! Kenya Swahili
Huduma na tiba kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi Zanzibar (Machi 2005 - Machi 2007). Zanzibar. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Zanzibar, Tanzania Swahili 2007
Zungumza na wanaoishi na virusi vya ukimwi kuhusu kinga ya virusi vya ukimwi. United States. President’s Emergency Plan for AIDS Relief; Kenya; Centers for Disease Control and Prevention (U.S.) Kenya Swahili
Wajibu wa wazazi kwa vijana vunja ukimya! Mzazi zungumza na kijana wako juu ya afya ya uzazi na ujinsia! Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Swahili
Linda afya yako, mlinde mpenzi wako, linda familia yako. Mwambie penzi wako kuwa una virusi vya UKIMWI. Mlete mpenzi wako katika kliniki ili apimwe kama ana virusi vya UKIMWI. Kenya. Ministry of Public Health and Sanitation ; Centers for Disease Control and Prevention Kenya Swahili
Mpashe! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Umepimwa hivi karibuni na ukagunduliwa kuwa na virusi vya ukimwi Swahili
Umuhimu wa ushauri nasaha katika uislamu. Mwenyezi MUNGU amesema "na washauri katika mambo." Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Tanzania bila ukimwi inawezekana. Kapime. Tupime. Tupange. Tuishi. Tanzania. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ; Mpango wa taifa wa kudhibiti ukimwi. Tanzania Swahili 2005-2014
Pata ushauri nasaha na kupima afya yako ili kujua hali ya yambukizo wa Virusi vya ukimwi. UNICEF Tanzania Swahili
Majibu ya mwenzi wako si kigezo cha kujua hali-yako ya uambukizo wa Virusi vya UKUMWI. Dar es Salaam, Tanzania Swahili
Huduma ya kuzuia maambukizo ya virusi VYA ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) ; European Union ; Médecins du monde Zanzibar, Tanzania Swahili 2005?
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
ABC mpaka Z. Femina HIP (Firm) ; United States. Agency for International Development. Dar es Salaam, Tanzania Swahili

Pages