|
Wanaume na wanawake wanaambukizwa UKIMWI kwa uwiano sawa […] HIV affects both men and women |
|
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili and English |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Kondom Bora Na Imara. Salama, Salama, Salama. Mpya! Sasa Hupatikana |
|
|
Pharma Plast |
Tanzania |
Swahili |
(1991) |
|
Kubadili tabia ndiyo njia pekee. Behaviour change is the only way. |
Postage stamps |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili and English |
1997 (received) |
|
Kupiga vita ukimwi ni wajibu wetu tuelezane na kuzuia ukimwi. To fight AIDS is everyone's responsibility. Share the information and stop AIDS |
Postage stamps |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili and English |
1997 (received) |
|
Kutunza mayatima wa ukimwi ni wajibu wetu. AIDS orphans is everyone's responsibility |
Postage stamps |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili and English |
1997 (received) |
|
Matukio na ishi. Karibuni wote! |
|
|
TACAIDS |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Tujifunze ukweli kuhusu ukimwi |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Siuzi uhai wangu kwa jiwe! Tutumie kondomu. |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 2. Je, Kondom hazizuii virusi vya UKIMWI kwa sababu zina vitundu ambavyo huruhusu virusi hivyo kupenya? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. |
|
|
TACAIDS |
Tanzania |
Swahili |
|
|
[pointing family] |
|
Sawaya, M. |
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
|
1991 |
|
Namjali mpenzi wangu hivyo mimi hutumia kondom. I care for my partner, so I use condoms |
|
Tibasima, Marco Simon |
Kuleana Centre for Sexual Health |
Mwanza, Tanzania |
Swahili and English |
(1996) (received) |
|
Rafiki yangu mwenye UKIMWI bado ni rafiki yangu. My friend with AIDS is still my friend |
|
Tibasima, Marco Simon |
Kuleana Centre for Sexual Health |
Mwanza, Tanzania |
Swahili and English |
(1996) (received) |
|
Vijana wa kisasa huongea wazi kati yao rec kuhusu UKIMWI. Cool friends talk openly with each other about HIV/AIDS |
|
Tibasima, Marco Simon |
Kuleana Centre for Sexual Health |
Mwanza, Tanzania |
Swahili and English |
(1996) |