Thumbnails | List

Title Series Artist Creators / Group Locale Language Datesort descending
Wajibu wa wazazi kwa vijana vunja ukimya! Mzazi zungumza na kijana wako juu ya afya ya uzazi na ujinsia! Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Swahili
Wanaume na wanawake wanaambukizwa UKIMWI kwa uwiano sawa […] HIV affects both men and women National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili and English
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. TACAIDS Tanzania Swahili
Piga vita ukimwi na dawa za kulevya Zanzibar. Tushikamane kuutokomeza ukimwi na dawa za kulevya Zanzibar. Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) ; United States. President's Emergency Plan for AIDS Relief Zanzibar, Tanzania Swahili, English
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Majibu ya mwenzi wako si kigezo cha kujua hali-yako ya uambukizo wa Virusi vya UKUMWI. Dar es Salaam, Tanzania Swahili
Pata ushauri nasaha na kupima afya yako ili kujua hali ya yambukizo wa Virusi vya ukimwi. UNICEF Tanzania Swahili
Umuhimu wa ushauri nasaha katika uislamu. Mwenyezi MUNGU amesema "na washauri katika mambo." Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Comprehensive care for prevention of mother-to-child transmission of HIV. Tanzania. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania English
ABC mpaka Z. Femina HIP (Firm) ; United States. Agency for International Development. Dar es Salaam, Tanzania Swahili
Mpashe! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Kuwa makini. Katika kutumia dawa za Ukimwi epuka matatizo. Tumia dawa za ARV kwa wakati na kwa maisha yako yote. Kumekucha! Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Mzazi amka! Pima Ukimwi mlinde moto na familia. Mradi wa Kupambana na UKIMWI (Zanzibar) Zanzibar, Tanzania Swahili
Jihadhari! Bila salama? "Hata siku moja." Bila Salama? Salama Condoms (Firm) Tanzania Swahili
Sote tunawajibika kuwajali na kuwahudumia wanawake wajawazito hasa walioathirika na virusi vya Ukimwi. Taasisi ya Chakula na Lishe (Tanzania), Shirika la Chakula Bora Tanzania, UNICEF Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili

Pages