|
Jihadhari! Bila salama? "Hata siku moja." |
Bila Salama? |
|
Salama Condoms (Firm) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Sote tunawajibika kuwajali na kuwahudumia wanawake wajawazito hasa walioathirika na virusi vya Ukimwi. |
|
|
Taasisi ya Chakula na Lishe (Tanzania), Shirika la Chakula Bora Tanzania, UNICEF |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Jikinge na magonjwa ya zinaa na ukimwi |
|
|
|
Nairobi, Kenya? |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Tujifunze ukweli kuhusu ukimwi |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ikiwa UKIMWI haukutishi wewe, hebu fikiria vile UKIMWI unaweza kumdhuru mtoto wako. Hebu fikiria |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Jikinge, kuwa na afya bora, tumia njia salama za kufanya mapenzi ya kimwili |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Kuwa na mpenzi mmoja wa kimwili pekee |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Matukio na ishi. Karibuni wote! |
|
|
TACAIDS |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Mtu yeyote anaweza kushikwa na ukimwi |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Tumia mpira wakati wowote unapofanya mapenzi ya kimwili |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Jikinge. Tumia mpira wakati wowote unapofanya mpenzi ya kimwili |
|
|
National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana. |
|
|
TACAIDS |
Tanzania |
Swahili |
|
|
UKIMWI jikinge na umkinge mwenzio fanya mapenzi kitika ndoa tu |
|
|
MAP International |
Nairobi, Kenya |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Siuzi uhai wangu kwa jiwe! Tutumie kondomu. |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu |
|
|
African Medical and Research Foundation |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 2. Je, Kondom hazizuii virusi vya UKIMWI kwa sababu zina vitundu ambavyo huruhusu virusi hivyo kupenya? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|
|
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! |
Facts About Condoms |
|
National AIDS Control Programme (Tanzania) |
Tanzania |
Swahili |
|