Thumbnails | List

Title Series Artist Creators / Group Locale Language Datesort descending
Mtu yeyote anaweza kushikwa na ukimwi National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Ikiwa UKIMWI haukutishi wewe, hebu fikiria vile UKIMWI unaweza kumdhuru mtoto wako. Hebu fikiria National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Ukweli kuhusu kondom 3. Je, kondom zinazogawiwa bure au kuuzwa kwa bei nafuu hazina ubora unaotakiwa kuzuia virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 4. Je, mtu anapaswa kutumia kondom zaidi ya moja kwa kila tendo la ngono ili kujikinga na uambukizo wa virusi vya UKIMWI? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Jikinge, kuwa na afya bora, tumia njia salama za kufanya mapenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Kuwa na mpenzi mmoja wa kimwili pekee National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Matukio na ishi. Karibuni wote! TACAIDS Tanzania Swahili
Maisha yangu ni muhimu kuliko pesa. Natumia kondom kila wakati. Najijali na najali familia yangu. Kenya. Ministry of Public Health and Sanitation ; United States. Agency for International Development Kenya Swahili
Tumia mpira wakati wowote unapofanya mapenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Jikinge. Tumia mpira wakati wowote unapofanya mpenzi ya kimwili National AIDS and STDs Control Programme (Kenya) Nairobi, Kenya Swahili
Ukimwi. Tujifunze ukweli kuhusu ukimwi African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
UKIMWI jikinge na umkinge mwenzio fanya mapenzi kitika ndoa tu MAP International Nairobi, Kenya Swahili
Ukimwi. Siuzi uhai wangu kwa jiwe! Tutumie kondomu. African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu African Medical and Research Foundation Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 2. Je, Kondom hazizuii virusi vya UKIMWI kwa sababu zina vitundu ambavyo huruhusu virusi hivyo kupenya? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana! Facts About Condoms National AIDS Control Programme (Tanzania) Tanzania Swahili
Jijue ujipange! Jue hali yako ya HIV. Kenya. Ministry of Public Health and Sanitation ; United States. Agency for International Development Kenya Swahili
MSF HIV Kliniki Médecins sans frontières (Association) General Africa Swahili
Kondom Bora Na Imara. Salama, Salama, Salama. Mpya! Sasa Hupatikana Pharma Plast Tanzania Swahili (1991)

Pages